Rapa na producer Master P asema unywaji wa dawa ya
Syrup kama pombe inaharibu vijana wa sasa.
Master P anasema ” syrup inauwa kizazi cha vijana
wetu,vijana wa sasa hawana mpango wa kufanya kazi, wanalewa tu na muda wote
wanataka starehe,kuonekana vizuri ,kupendeza na kuweka picha istagram ”
Master P pia ameponda kitendo cha binti flani nchini
Marekani kutumia zaidi ya dola milioni 12 kumtoa mpenzi wake jela badala ya
kuwekeza pesa hio.
Master P anaimani kuwa sio lazima kusaidia watu wote
kwenye familia yako.
0 comments:
Post a Comment