TCRA yavifungia vituo 21 vya Radio na 6 vya
Television kwa muda wa miezi 3 kuanzia Jumatatu tarehe 18.
1. Sibuka fm
2. breez fm
3. Country fm
4. Ebony fm
5. Hot fm
6. Impact fm
7. Iringa manicipal Tv
8. Kiss fm
9. Kitulo fm
10. Kifimbo fm
11. Mbeya city municipal Tv
12. Radio 5
13. Radio free Afrika
14. Musa Television network
15. Pride fm radio
16. Radio huruma
17. Radio uhuru
18. Star Tv
19. Rock fm radio
20. Standard fm radio
21. Sumbawanga municipal Tv
22. Tanga City Tv
23. Top radio fm limited
24. Ulanga fm
2. breez fm
3. Country fm
4. Ebony fm
5. Hot fm
6. Impact fm
7. Iringa manicipal Tv
8. Kiss fm
9. Kitulo fm
10. Kifimbo fm
11. Mbeya city municipal Tv
12. Radio 5
13. Radio free Afrika
14. Musa Television network
15. Pride fm radio
16. Radio huruma
17. Radio uhuru
18. Star Tv
19. Rock fm radio
20. Standard fm radio
21. Sumbawanga municipal Tv
22. Tanga City Tv
23. Top radio fm limited
24. Ulanga fm
Mamlaka ya Mawasiliano TCRA imevifungia vituo 21 vya
Radio na 6 vya TV kwa kushindwa kulipa kodi ya lesseni kwa wakati.
Akitangaza uamuzi huo, mkurugenzi wa habari na
mawasiliano wa TCRA Innocent Mungy, amesema kuwa mitambo ya vituo hivyo
itazimwa ifikapo kesho saa 6 usiku, na itawashwa baada ya vituo hivyo kulipa
madeni yanayowakabili.
Mungy amesema mamlaka hiyo haiwezi kusema ni kiasi
gani cha pesa ambacho vituo hivyo vinadaiwa kwa madai kuwa kanuni na taratibu
haziwaruhusu kutaja kiasi hicho kwa kuwa ni siri kati ya TCRA mteja.
Ameongeza kuwa makampuni hayo yalipewa taarifa tangu
mwezi Julai mwaka jana juu ya kulipa madeni hayo lakini ni kampuni mbili pekee
(ambazo hakuzitaja majina) zilizolipa, na nyingine hazijalipa hadi sasa, na
hivyo kuilazimu mamlaka hiyo kuchukua hatua ya kuzifungia kwa miaezi mitatu
hadi zitakapolipa madeni.
Mungy amesema kuwa hapo awali vilikuwa vyombo 40
amabavyo havikutekeleza agizo lakini vyombo 11 vikalipa huku vyombo 27
vikionekana kukaidi agizo la mamlaka hiyo hali iliyopelekea kufungiwa kwake.
Amesema kuwa kwa kampuni ambazo zitashindwa kulipa
ndani ya miaezi mitatu zitanyanganywa leseni moja kwa moja.
Aidha Mungy amesema kuwa TCRA imewataka wadau wote
wa mawasiliano nchini kutii sheria bila shuruti na kufuata taratibu, huku
akisisitiza kuwa zoezi hilo la kuwasaka wanaokwepa kodi ni endelevu.
0 comments:
Post a Comment