Vigogo wa nne wa Bohari kuu ya sawa MSD kanda ya Dar es
Salaam wamesimamishwa kazi kutokana na Ubadhilifu wa fedha za kitanzania kiasi
cha shilingi Bilioni 1.5.
Waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto,
Ummy Mwalimu amechukua uamuzi wa kuwa simamisha kazi vigogo hao wa nne kutokana
na tuhuma za ubadhirifu wa fedha kutokana na kukiuka taratibu za manunuzi.
Waliosimamishwa kazi ni pamoja na mkurugenzi wa kanda huduma
kwa wateja Cosmas Mwaifwani,Mkurugenzi wa fedha Joseph Tesha, Mkurugenzi wa
ugavi Misanga Muja na mkurugenzi wa manunuzi Henry Mchunga.
Endelea kutembelea Gazeti letu hili la mtanda kusoma habari
zetu tutakufahamisha Mengi.
0 comments:
Post a Comment