Habari iliyotikisa hivi leo na imechukua sura mpya
ni hii ya Pantoni kuzima ghafla Dar na kulazimika abiria wajitose baharini kuokoa
maisha yao,hadi sasa haijafahamika athari iliyopatikana ingawa taarifa ambazo
hazijathibitishwa zikidai kuwa kivuko hicho kilizidisha mizigo na watu.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment