Zaidi ya watu wa nne wanasadikiwa kufariki dunia kufuatia
ajali mbaya iliyohusisha Basi la abiria la Simba Mtoto na Lori katika kijiji
cha Pangani barabara ya Pangamlima kati ya hale na muheza Mkoani Tanga asubuhi
ya leo.
Mashuhuda wa Ajali wanadai kuwa gari hizo mbili ziligongana
usoso kwa uso ikielezwa pia kuwa eneo hilo si zuri sana ambapo ajali hiyo
imesababisha magari mengine kushinwa kupita na barabara kufunga msururu wa
magari.
Hata jeshi la Polisi limeonekana likifanya juhudi za ukozi
kwa waliopoteza maisha kwa kupakia miili yao katika gari kusudi kwenda
kuhifadhiwa sambamba na walio jeruhiwa kuweza kupelekwa hospitali kupatiwa
matibabu.
Chanzo cha ajali hadi hivi sasa hakuna taarifa kamili ambapo
tunafanya juhudi za kumtafuta kamanda wa polisi jijini humo ilikufahamu kwa
kina.
Tutakufahamisha kila hatua Like Page Yetu na Kusoma Taarifa
Zetu.
0 comments:
Post a Comment