Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akizungumza na Uongozi wa shirikisho la michezo la
mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi (SHIMMUTA) ulioongozwa
na Mwenyekiti wa shirikisho hilo Khamis Mkanachi, wakati ujumbe huo
ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo
Februari 17, 2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
katikati akiwa katika Picha ya pamoja na uongozi wa Shirikisho la
Michezo la Mashirika ya Umma Taasisi na Makampuni Binafsi wakati ujumbe
huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo
Februari 17, 2016.
(Picha na OMR)
Home
MICHEZO
Makamu wa rais Mhe.Samia Suluhu Hassan akutana na uongozi wa shirikisho la michezo (SHIMMUTA).
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment