Image
Image

Serikali yaitaka TANESCO kumchukulia hatua Mkandarasi anayesambaza umeme wa REA vijijini




Serikali imeliagiza Sh irika la Umeme nchini - TANES CO-kuhakikisha linamchukulia hatua kwa mujibu wa sheria,Mkandarasi anayesambaza umeme vijijini, chini ya mradi wa umeme vi jijini - REA- ikiwa ni pamoja na kurejesha fedha zinazozidi kazi ambayo ameishaiifanya, kutokana na kuchelewa kuka milisha mradi huo kwa wakati mu afaka.
Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,MEDARD KALIMAN,alipokuwa  akizungumza na wananchi na viongozi wa TANESCO  wilayani Igunga Mkoani  Tabora,  mwanzoni mwa   ziara ya siku nne ya kukagua  matatizo ya  umeme na madini yanayowakabili  wananchi wa Mkoa wa Tabora.
Katika hatua nyingine Naibu Waziri   KALIMAN amewataka wafanyakazi wa shirika hilo ku ondoa  kero ya kukatika umeme mara kwa mara akisema  kuanguka nguzo hilo sio su ala la mwananchi, bali ni wajibu  wa shirika kuimarisha miundombinu ili kupatikane umeme wa uhakika.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment