Ni siku mbili zimepita toka Alikiba alipoifanya
party ya kuitambulisha video yake mpya kwa Watanzania wachache waliopewa kadi
za mwaliko, ila sasa hivi ameiachia video kwenye Youtube ili kila mtu aitazame…
ni video ambayo aliifanya Marekani wiki kadhaa zilizopita…. ukishaitazama acha
na comment yako hapo chini ili Alikiba akipita badae ajue mashabiki zake
wanasemaje.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment