Kijana Abdulahman Juma(30) anahitaji msaada wako. Alipigwa na shoti ya umeme na amekatwa mikono yote. Yupo Muhimbili,akitoka hapo hajui hata ataishije. Alikuwa Dereva wa maroli makubwa! Ukiguswa msaidie kwa namba yake ya simu 0718439185.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment