Image
Image

Tazama namna Basi la Princess Muro lilivyo vamia kituo cha basi yaendayo kasi Kimara.

Basi la Abiria mali ya Kampuni ya Princess Muro, limeparamia Kibanda cha Kituo cha Mabasi yaendayo kasi eneo la Kimara Jijini Dar usiku hii wakati likiingia kutoka Mkoani. Chanzo chake bado hakijafahamika mpaka sasa.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment