Image
Image

Mwanahabari Salma Said aliyetekwa ijumaa apatikana.


Mwandishi aliyewakilisha kituo cha redio cha Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle) visiwani Zanzibar Salma Said na ambaye alitoweka Ijumaa, amepatikana.
Kamanda wa polisi wa Dar es Salaam Simon Siro amethibitisha kupatikana kwa mwanahabari huyo.
BBC imezungumza na Mume wa Salma Said, Bw Ali Salim Khamis, ambaye amesema kwa sasa Salma anatoa maelezo kwa polisi Dar es Salaam.
Bi Said alikuwa pia mwandhishi wa magazeti ya Mwananchi Communications.
Idhaa ya DW baadaye iliandika kwenye Facebook kwamba mwandishi huyo alipatikana jijini Dar es Salaam.
Kwa taarifa tulizo nazo nikuwa mwandishi hyo sasa yupo baraza la habari Tanzania MCT akisimulia kilichotokea,tayari wanahabari wamekita kambi eneo hilo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment