Taarifa
zilizotufikia muda huu ni kwamba Furushi lenye gram zaidi ya 590 lenye dawa za
kulevya limenaswa na Askari Polisi wa uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam.
Kifurushi
hicho kinaelezwa kuwa kilikuwa kimetumwa kutoka Mkoani Morogoro kwa lengo la
kusafirishwa kuelekea nchini Canada kwa usafiri wa DHL


0 comments:
Post a Comment