Aliyekuwa Mgombea urais wa Chama cha democrasia na
Maendeleo CHADEMA Edward Lowassa kwa
mwamvuli wa umoja ya wananchi UKAWA amefika kumjulia hali Makamu wa kwanza wa
rais wa Serekali ya mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kwenye
Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam anapoendelea kupata mapumziko.
Maalim Seif ambaye alikuwa anaumwa na kulazwa katika
Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam siku tatu zilizopita baada ya
kuugua wakati anasafiri kutoka Zanzibar kuja Dar.




0 comments:
Post a Comment