Image
Image

Vifaa vya chaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar vyawasili chini ya ulinzi mkali.



Vifaa vyote muhimu kwa ajili y uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar  tayari vimewasili kisiwani Pemba vikiwa chini ya ulinzi mkali wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Akizungumza  mara baada ya kupokea vifaa hivyo Afisa Mdhamini Tume ya Uchaguzi Zanzibar kisiwani Pemba ALI MOHAMED DADI amesema vifaa hivyo ni muhimu katika mandalizi ya uchaguzi huo wa marudio.
Wakati huo huo mkuu wa jeshi la polisi Mkoa wa Kusini Pemba Bwana MOHAMED SHEKHAN MOHAMED amesema jeshi lake limejipanga vyema kwa ajili ya kulinda zoezi zima la uchaguzi wa marudio.
Uchaguzi huo wa marudio hapo kesho unafanyika baada ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar kufuta uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka jana na matokeo yake.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment