Benki kubwa zaidi ya kiislamu katika Falme za
Kiarabu yafahamisha kufungua tawi lake nchini Kenya kabla ya mwisho wa mwaka
2016.
Licha ya mamlaka ya benki za Kenya kutoa leseni mpya
kwa benki na kusababisha kufungwa kwa baadhi ya benki muhimu za Kenya,Benki ya
kiislamu ya Dubai inasuburi uamuzi wa mwisho kutoka benki kuu ya Kenya ili
kuanzisha rasmi utoaji wa huduma zake nchini Kenya.
Benki hiyo ya Dubai itakuwa benki ya tatu ya
kiislamu kuendesha huduma zake nchini Kenya.
0 comments:
Post a Comment