Chama cha wananchi CUF visiwani Zanzibar hivi leo
kimetoa msimamo wake baada ya uchaguzi wa marudio kufanyika visiwani humo na
kusema kuwa hakimtambui Rais Ali Mohamed Shein pamoja na Serikali yake kwa kuwa
ni batili.
Amesema kuwa wao CUF wanatambua Matokeo ya October
25 Mwaka jana ambayo yalikuwa ndio matokeo halali na yalipigiwa kura na
Wazanzibar nahivyo kufanyika hujum,a na kufutwa matokeo,kwani jambo hilo ni
Ubakaji Democrasia za Nchi.
Chama cha CUF visiwani Zanzibar bado kinaendeleza
msimamo wake kususia kutambua matokeo na serikali iliyoundwa kufuatia uchaguzi
wa marudio.
Hivi karibuni shirika la misaada la Marekani MCC
lilisitisha msaada wa dola 487 kwa madai ya kutoridhishwa na hali ya kisiasa
visiwani Zanzibar.
Hadi sasa kikao kinaendelea mara baada ya kumalizika
tutawafahamisha zaidi.
0 comments:
Post a Comment