Rais
DILMA ROUSSEFF wa Brazil amesema ataweza kuomba Umoja wa Nchi za
Amerika ya Kusini kusimamisha uanachama wa nchi hiyo iwapo ataondolewa
madarakani.
Bi.ROUSSEFF amerudia mara kwa mara kwamba mchakato wa mahasimu wake kumuondoa madarakani yalikuwa ni mapinduzi ya kisiasa.
Anatuhumiwa kubadili takwimu za bajeti ya nchi hiyo kabla ya kuchaguliwa kwake mwaka 2014 lakini amekanusha kufanya kosa lolote.
Umoja
huo una kifungu cha kuchukua hatua iwapo serikali iliyochaguliwa ya
nchi mwanachama itapinduliwa na kusababisha nchihiyo kuwekewa aina mbali
za vikwazo vikiwemo vya biashara.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment