Wapiganaji 12 wa al-Shabaab wameuawa katika
mashambulizi ya jeshi la Marekani dhidi ya kambi ya mafunzo ya kundi hilo
kusini mwa Somalia.
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani Bw. Jeff
Davis amesema operesheni hiyo ilifanywaa kutokana na kudhaniwa kuwepo kwa
tishio dhidi ya vikosi vya Marekani nchini humo.


0 comments:
Post a Comment