Mwanasiasa wa upinzani ameuawa kwa kupigwa risasi
nje ya nyumba yake katika mji mkuu wa Kenya Nairobi.
Stephene Mukabana ambaye kiongozi wa vijana wa chama
cham Orange Democratic Movement (ODM), aliuawa usiku wa jana wakati alienda
kumsaidia mtu mmoja aliyekuwa akiporwa na kundi la watu sita kwa mujubu wa
gazeti la Standard nchini humo.
Pia gazeti la Standard lilimnukuu gavana wa Nairobi
Evans Kidero akisema kuwa kundi la wauaji limfuata na kumuua mwanasiasa huyo wa
umri wa miaka 42.


0 comments:
Post a Comment