Image
Image

Habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Uturuki Leo ziko hapa.

Gazeti la Sabah:Mei yenye amani
Katika sherehe za kuadhimisha siku ya wafanyikazi duniani nchini Uturuki hafla hiyo ilifanywa mjini Istanbul katika soko la Bakırköy.
Vyama kadhaa vya kazi,mashirika ya kiraia na pia mashirikisho mengi ya wananchi walihudhuria sherehe hizo.
Sherehe hizo zilifanyika kwa amani bila ghasia zozote.
Gazeti la Yeni Safak:PKK waenda likizo huku DAESH washika doria
PKK sasa wameanza kupata hasara hata baada ya kufanya mipango ya kufanya mashambulizi nchini.
Mchezo wa kimataifa waliokuwa wamepanga umeambulia patupu.
Hata hivyo DAESH wanafanya bidii kufanikisha shughuli zao za kigaidi.
PKK na DAESH wanajaribu kutumia mbinu za zamani kutekeleza mashambulizi ya kigaidi .
Gazeti la Star:Baada ya miaka 149 Sultan Abdulaziz mjini Paris
Maonyesho ya kazi za uchoraji za kisanii za kale yalifanyika mjini Paris.
Katika Frederic Moisan Gallery mjini Paris,Sultan Abdulaziz wa Ottman miaka 149 iliyopita alisafiri kwenda Paris.
Katika ziara yake alipeleka michoro ya mji wa Istanbul na uzuri wake na hadi leo michoro hiyo imehifadhiwa katika Moisan Gallery.
Gazeti la Habertürk:Chombo cha kuchapisha 3D chaundwa Uturuki
Baada ya Marekani,Ujerumani na Urusi Uturuki inaunda chombo cha kuzalisha bidha za metali za 3D.
Kifaa hicho kitaweza kuunda bidhaa mpya na pia kurekebisha vyombo vilivyoharibka.
Ndge aina za F16 na sialaha zitarudishwa hali yake ya zamani.
Matatizo ya kuwa na uhaba wa vipuri vya sekta ya viwanda na sekta ya ulinzi utatatuliwa na chombo hico cha uzalishaji cha 3D.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment