Halmashauri za wilaya na manispaa mkoani KATAVI, zimetakiwa
kutenga fungu katika bajeti zao, na kuwalipia kadi wazee, ili
wajiunge na mpango wa tiba kwa kadi ujulikano kama TIKA, na kupata
tiba bila usumbufu kama ilivyo sera ya serikali.
Agizo hilo
limetolewa na mkuu wa mkoa wa katavi, Meja Jenerali Mstaafu RAPHAEL
MUHUGA, katika uzinduzi wa kampeni ya uhamasishaji wananchi kujiunga
na mfuko wa afya ya jamii CHF, uliofanyika manispaa ya Mpanda
kijiji cha Kakese MBUGANI.
Nae mkurugenzi wa CHF taifa, kutoka
mfuko wa bima ya afya EUNIGENI MIKOKONGOTI pamoja na mkuu wa wilaya ya
MLELE Kanali Mstaafu ISSA NJIKU wamesema mpango huo ni muhimu sana kwa
maendeleo ya jamii
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment