Image
Image

Waziri Davutoglu afahamisha kuwa uchunguzi kufuatia shambulizi la Gaziantep wasongambele.

Waziri mkuu wa Uturuki Ahmet Davutoglu afahamisha kuwa uchunguzi kufuatia shambulio la kigaidi lililoendeshwa Mei  1 mjini Gaziantep wasongambele.
Davutoglu amebainisha kuwa data muhimu kuhusu tukio hilo zipo mikononi mwa Polisi.
Davutoglu amefahamisha kuwa gavana wa Gaziantep atatoa taarifa muhimu kuhusiana na tukio hilo hivi karibuni.
Waziri Davutoglu alizungumza na waandishi wa habari baada ya chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya siku kuu ya wafanyakazi mjini Ankara.
Davutoglu aliwaambia waandishi wa habari kuwa waziri wa mambo ya ndani akishirikiana na gavana wa Gaziantep wanafuatilia kwa karibu suala hilo.
Shambulizi dhidi ya kituo cha Polisi Gaziantep lilisababisha vifo vya watu wawili na wengine 22 kujeruhiwa.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment