Image
Image

Latest News:Upinzani wamsusia Bunge Naibu Spika.

Wabunge wote wa upinzani wametoka nje kususia kikao cha Bunge ikiwa ni kutekeleza azimio lao la kutokuwa na imani na Naibu Spika, Tulia Ackson.
Baada tu ya kusomwa dua ya kufungua Bunge asubuhi wabunge hao wametoka nje.
Juzi kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe akizungumza na wabunge wa upinzani alisema kuwa hawana imani na Dk Tulia hivyo watakuwa wakisusia vikao vyote vitakavyokuwa vikiongozwa na kiongozi huyo
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment