Image
Image

LEMA:Kiongozi wa ngazi ya juu kulewa Bungeni nikushusha hadhi ya Bunge*Nisawa Rais kumfuta kazi Kitwanga tu.

                        Mh. Godbles Lema - Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani .
Charles Kitwanga - Waziri wa mambo ya nadni ya nchi,aliyefutwa kazi kwa ulevi Tanzania.
Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani amabye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mh. Godbles Lema ameshauri kufungwa kwa vifaa maalum vinavyopima ulevi ndani ya bunge  ilikulinda heshima ya Muhimili huo wa bunge.
Waziri huyo kivuli pamoja na mambo Mengine amepongeza uamuzi wa Rais Magufuli wa kumfuta kazi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nje Charles Kitwanga huku akisema kwamba kiongozi huyo amechafua hadhi ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi.
Hata hivyo  Lema amekiri kitendo cha unywaji wa Pombe kupitiliza kwa kiongozi ni utovu wa nidhamu jambo ambalo huenda likazidi kushusha hadhi ya bunge ambalo ni Mahususi kwa kutunga Sheria na kuisimamia Serikali.
Ni siku moja tu baada ya taarifa ya Ikulu kutangaza kumfuta kazi aliyekuwa waziri wa mambo ya nadni ya nchi Charles Kitwanga baada ya kuingia bungeni na kujibu swali la wizara yake huku akiwa amelewa.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment