Image
Image

Makamu wa Rais alaani mauaji ya watu saba waliouawa kwa kukatwa mapanga mkoani Mwanza.

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amelaani mauaji ya watu saba waliouawa kwa kukatwa mapanga katika kijiji cha Sima wilayani Sengerema mkoani Mwanza na kusema kuwa kitendo hicho hakikubaliki.
Makamu wa Rais ameeleza hayo alipofika katika kijiji cha Sima kutoa rambi rambi kwa ndugu na jamaa za marehemu waliofikwa na msiba huo uliotokea usiku wa kuamkia jana.
Akionesha masikitiko yake kufuatia mauaji hayo Makamu wa Rais amelaani mauaji hayo.
Watu saba wa familia moja wameuaw
a kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana ambapo katika mauaji hayo watoto wawili walinusurika baada ya kujificha chini ya uvungu wa kitanda.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment