Vijana
waliokuwa wamefunika nyuso zao walipambana na polisi siku ya Jumapili
walipokuwa wakiandamana kupinga marekebisho ya mipango ya kazi.
Maandamano hayo yalifanywa na watu 70,000 mjini Paris.
Waandamanaji hao walisema kuwa marekebisho hayo yatapelekea kuwa na ukandamizaji na unyanyasaji wa wafanyakazi.
Hata hivyo waziri wa kazi El Khomri alisemakuwa mabadiliko hayo ni muhimu katika maendeleo ya nchi.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment