Wafanyakazi
wa Zahanati ya Kongowe Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani
hulazimika kusimamisha matibabu pindi mvua zinaponyesha kutokana na
jengo hilo kufurika maji yanayoingia kupitia mifereji.
Jengo hilo lilojengwa jirani na mkondo wa maji limedaiwa kuwa msingi wake haukuzingatia kiwango kama inavyostahili.
Mganga
Mkuu wa zahanati hiyo, Francis Kayenga alisema hayo mbele ya Mkuu wa
Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo aliyefika hapo akiambatana na
kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment