Uganda ina mipango ya kuzindua E-Viza kwanzia tarehe 1 mwezi Juni.
Raia wa Uganda wataweza kujisajili kupitia mtandaoni ili kuweza kupata vibali vya kazi na viza .
Hata
hivyo taarifa na maelezo kamili kuhusu taratibu za usajili wa viza
kupitia mtandao yatarajiwa kutolewa kwa ukamili kutoka kwa wizara ya
utalii na sekta ya ubinafsi nchini Uganda.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment