Papa Francis afanya mazungumzo na Imam Mkuu wa mskiti wa Al Azhar wa Cairo Sheikh Ahmed Mohamed el-Tayeb katika Vatican nchini Italia.
Mkutano huo baina viongozi hao wakuu kutoka dini mbili tofauti ni kilele cha mafanikio kati ya dini hizo mbili.
Aidha El Tayeb alibainisha kuwa alikubali mwaliko wa Papa kwa ajili ya kuongeza jitihada za kueneza amani na kuwepo kwa ushirikiano .
Hata hivyolengo lingine lilikuwa kusawazisha uhusiano baina ya dini hizi mbili kufuatia matamshi ya Papa Benedict XVI dhidi ya waislamu mwaka 2006.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment