Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan afanya mkutano na kansela wa Ujerumani Angela Merkel katika kongamano la Istanbul.
Rais Erdogan alizungumza n akansela Merkel kuhusu suala viza kwa raia wa Uturuki katika nchi za Umoja wa Ulaya.
Vile vile katika mazungumzo yao viongozi hao walinzungumzia suala la ugaidi na mikakati ya kupambana na janga hilo.
Viongozihao wawili walizungumzia masuala tofauti ikiwema suala la wakimbizi kutoka Syria, ushirikino uliopo bain aya Uturuki na Umoja wa Ulaya bila ya kuweka kando suala la ugaidi.
Viongozi hao pia walipongeza hatua iliofikiwa kuhusu wahamiaji haramu wanaotumia Uturuki kama njia ya kuingia katika nchi za Umoja wa Ulaya.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment