Image
Image

Mtihani wa kidato cha sita waanza leo nchini Tanzania watahiniwa 75,000 washiriki.

Mitihani ya Taifa ya Kidato cha Sita imeanza hivi  kote nchini leo ambapo kwa mujibu wa Baraza la Taifa la Mitahani watahiniwa wapatao 75,000 wanashiriki katika  mitihani hiyo ambayo itaendelea hadi tarehe 19 ya mwezi huu.
Kati ya watahiniwa waliosajiliwa watahaniwa 65,610 ni watahiniwa wa shule huku watahiniwa wa kujitegemea wakiwa 9,310  ambapo kwa watahiniwa wa shule  wasichana ni 24,549 na wavulana ni zaidi ya 41,000.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment