Mwili wa aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la Dar Es Salaam,Wilson Kabwe umeagwa leo kwenye viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam na atarajiwa kuzîkwa kesho mkoani Kilimanjaro.
Viongozi mbalimbali wamehudhuria wakiwamo Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI George. Simbachawene ambaye aliwakilisha salamu za rambirambi kutoka Serikalini na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ambaye aliwasilisha salamu za rambirambi kutoka Ofisi ya Mkuu mkoa wa Dar es Salaam.
Home
News
Slider
Mwili wa Kabwe waagwa Karimjee Jijini Dar es Salaam,Kuzikwa 25 Mei 2016,Kilimanjaro.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment