Image
Image

Ndovu 17 wavamia vijiji vitatu na kuharibu nyumba na mashamba ya wakaazi magharibi mwa Tanzania

Ndovu 17 wameripotiwa kuvamia vijiji vitatu na kusababisha uharibifu wa nyumba na mashamba ya wakaazi magharibi mwa Tanzania.
Vijiji hivyo vilivyovamiwa na ndovu hao vinasemekana kuwa karibu na maeneo ya mbuga za wanyama za Lwafi na Katavi mjini Kalambo.
Ingawaje hakukuwa na vifo vya watu vilivyoripotiwa kutokana na uvamizi huo, hofu ilitanda miongoni mwa wanakijiji waliolalamika kuharibiwa mashamba yao na kukosa mavuno.
Hali hiyo inasemekana kuanza tangu tarehe 18 mwezi Mei ambapo wanyama pori wamekuwa wakivamia mashamba nyakati za usiku.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment