Rais
wa Tanzania wa Serikali ya awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli leo
anamuapisha Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt. Asha – Rose
Migiro kwenye Ikulu Ndogo ya Chamwino, Dodoma.Kuapishwa kwa Dkt.Migiro kunatokana na Rais.John Pombe Magufuli jana kumteuwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Taarifa ya Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU Gerson Msigwa ilisema Migiro anakwenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi, Peter Kalaghe ambaye amerudishwa nyumbani.
Taarifa hiyo iliongeza kuwa Dk Migiro ataapishwa leo Ikulu ndogo ya Chamwino Dodoma.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment