Image
Image

Rais wa Uturuki ataraji kufanya ziara Afrika Mashariki mwanzoni mwa mwezi Juni.

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anataraji kufanyan ziara Afrika Mashariki ifikapo Mei 31 hadi Juni 3.
Taarifa hiyo imetolewa Jumatatu na kitendo cha upashaji habari katika ofisi ya rais.
Rais Erdogan atatembelea nchini Uganda na Kenya.
Taarifa hiyo anafahamisha kuwa rais Erdogan ataanza ziara yake hiyo Afrika Mashariki nchini Uganda na baadae nchini Kenya.
Mei 31 hadi Juni  mosi rais Erdogan atakuwa nchini Uganda huku Juni mosi hadi Juni 3 atakuwa nchini Kenya.
Baada ya ziara yake Afrika Magharibi rais Erdogan anataraji kuhimarisha ushirikiano na Afrika kwa kutembelea Afrika Mashariki.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment