Sakata
la kuwahamisha wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama WAMACHINGA
limeingia nyongo baada ya madiwani wa UKAWA kugomea uamuzi uliotolewa na
uongozi wa jiji.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Isaya Mwita ndiye
aliyetoa uamuzi huo ambao unadaiwa kutowashirikisha wadau hao na
wafanyabiashara wenyewe.
Kwaupande wake Mwenyekiti wa Madiwani wa
UKAWA, Manase Mjema amesema kwamba Mngurumi ametoa uamuzi huo bila
kumshirikisha hata Meya wa ilala,Charles Kuyeko.
Wamesema masoko ya
Kivule,Tabata Muslim,Ukonga na Kigogo Fresh ambayo yametengwa Ambapo
Mkurugenzi huyo amesema yametengwa kwa ajili ya wafanyabiashara
hao,hayajaboreshwa miundo Msingi yake ikiwamo ujenzi wa vyoo na mabomba
ya maji.;
Wametaka mchakato huo kusitishwa mara moja mpaka tu hapo watakapo jadiliana tena.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment