Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wan chi kavu na majini - SUMATRA - imetangaza nauli mpya za mabasi yaendayo haraka yanayotarajiwa kuanza kazi hivi karibuni.
Kwa mujibu wa taarifa ya SUMATRA nauli kwa maeneo ya katikati ya jiji ni Shilingi 400.
Nauli kutoka Kimara hadi Kivukoni itakuwa Shilingi 650, Mbezi mwisho hadi Kivukoni itakuwa Shilingi 800 .
Nauli kwa Wanafunzi itakuwa Shilingi 200 kwa maeneo yote .
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment