Image
Image

Wabunge kubanwa,Magufuli kuleta Muswada unaotenganisha siasa na biashara.


Magazeti ya leo yamejaa habari inayosema Serikali ya Magufuli iko mbioni kuleta mswaada wa sheria utakaotenganisha siasa na biashara.
Wabunge watakuwa na sheria inayowazuia kuwa wafanyabiashara ambapo pia wafanyabiashara hawataruhusiwa kuwa wabunge.
Vivyo hivyo itakuwa kwa madiwani mpaka wenyeviti wa vijiji na mitaa.
Baadhi ya wabunge wamepinga mswaada huo huku wakidai pesa za ubunge hazitoshi na ndio maana wanaamua kuw
a na biashara ili kukabiliana na hali za kimaisha.
Inasemekana Rais Magufuli amewaambia wabunge wa CCM wana uhuru wa kuchagua kama wanataka wawe wabunge au wafanyabiashara.
Tume ya Maadili itapewa meno na nyenzo za utendaji ili iweze kufanya uchunguzi wa kina kwa kila anayejaza fomu za maadili na Itakuwa ni kosa la jinai lenye adhabu kali kudanganya katika fomu za tamko la mali.
 
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment