Mamlaka
ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imetoa tahadhari katika kipindi cha kati
ya 08 Mei 2016 na 09 Mei, 2016 mwaka huu, kwenye ya baadhi Maeneo ya
ukanda wa Pwani yataathirika na Upepo mkali na Mawimbi Makubwa.
Taarifa
hiyo ya TMA kwa vyombo vya habari imesema kuwa Upepo mkali unaozidi
kasi ya km 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2.0 yanakiwango
cha Wastani (70%).
Kutokana na hali hiyo, TMA imetahadharisha pande
za Mwambao wa mikoa ya Tanga, Pwani, Lindi, Mtwara, Dar es salaam pamoja
na visiwa vya Unguja na Pemba kuchukua hadhari kwa siku hizo mbili.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment