>>>Serikali imeridhia wanafunzi 782 wa kozi ya ualimu katika chuo kikuu cha Dodoma UDOM kurejea nyumbani kutokana na mgomo wa walimu ambao madai yao sio sahihi kwa mujibu wa mkaguzi wa ndani.
>>>Wabunge wamechachamaa Bungeni kutaka suala la wanafunzi 782 wa kozi ya ualimu UDOM kurejea nyumbani kutokana na mgomo wa walimu lijadiliwe ndani ya Bunge, ambapo Naibu Spika amegoma hivyo kuibuka vurugu na kulazimu askari kuingia ili kuwatoa nje.
0 comments:
Post a Comment