Baada ya kusakwa na vilabu vingi barani Ulaya kama Bayern Munich,Chelsea na Paris Saint Germain, mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa na mshambuliaji nyota wa timu ya Atletico Madrid ya Uhispania Antoine Griezimann mwenye umri wa miaka 25 hatimaye achukuwa uamuzi wa kusalia katika timu yake ya Atletico Madrid.
Greizman kachukuwa uamuzi huo baada ya kuongeza mkataba wa mwaka moja na kuendelea kuichezea timu yake ya Atletico Madrid mpaka mwaka 2021.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment