Image
Image

JWTZ lakanusha kuibwa kwa kifaru cha Kivita*Gazeti la Dira latakiowa kuomba radhi.

JWTZ lakanusha kuibwa kwa kifaru cha Kivita*Gazeti la Dira latakiowa kuomba radhi.
Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ limekanusha taarifa za kuibwa kwa kifaru na kusema kwamba taarifa hizo hazina ukweli wowote huku likisema kuwa ulinzi kwenye maeneo yake ya  jeshi uko imara kabisa.
Ni siku chache tu ambapo kumekuwepo na Taarifa iliyokuwa ikisambaa kwa kasi ikisomeka Watu 20 wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kuiba KIFARU cha Kivita cha jeshi la Wananchi kikosi cha 83 KJ mkoani Pwani.
Kufuatia Taarifa hizi sas
a Jeshi hilo limelitaka Gazeti la Dira kuomba radhi Mara moja wakishindwa kufanya hivyo hatua Kali na za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.

 Like ukurasa wetu wa Facebook hapo, kwa kuweza kupata taarifa zaidi, kila zinapo tufikia.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment