Image
Image

Kiinua Mgongo cha Wabunge,Mawaziri,Rais,Wakuu wa Mikoa na wilaya kutozwa kodi.

Serikali imeondoa msamaha wa kodi kwa mafao ya viongozi wa kisiasa na kusisitiza kuanzia sasa kiinua mgongo  cha wabunge,mawaziri,rais,wakuu wa mikoa na wilaya vitatozwa kodi ili kujenga misingi ya usawa na haki.
Akihitimisha mjadala bajeti ya serik
ali kwa mwaka fedha 2016/15 waziri wa fedha na uchumi Mhe. Dkt Phillip Mpango amesema serikali haitaongeza tozo katika mafuta na itajielekeza katika kuimarisha miundombinu ya miradi ya maendeleo na kusisitiza swala kukata kodi ni la kisheria.
Like ukurasa wetu wa Facebook hapo, kwa kuweza kupata taarifa zaidi, kila zinapo tufikia.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment