MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo imemuachia kwa dhamana Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu 2 Agost Mwaka huu na kutakiwa asitoke nje ya jiji la Dar es Salaam.
Tundu Lisu anashitakiwa kwa makosa ya uchochezi, mnamo tarehe 28/06/2016 akiwa eneo la Mahakama kwania ya kudharau umma dhidi ya mamlaka yao walioyoichagua kihalali, alisema huyu dikteta uchwara lazima tumpinge kila kona"

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Freeman Mbowe akiwasiri mahakamani leo.
0 comments:
Post a Comment