Image
Image

Polisi wapiga marufuku mkutano wa CHADEMA Mkuoani Kahama.

Mkutano wa hadhara wa viongozi wakuu wa Chadema uliokuwa umepangwa kufanyika hivi leo Kahama umepigwa marufuku na Jeshi la Polisi kutokana na mvutano mkubwa uliopo kati ya Chadema na CCM.
Chama cha Demokrasia na maemdeleo kilikuwa kifanye mkutano wake leo hii mjini Kahama mtaa wa CDT mpaka muda huu gari la washawasha la jeshi la polisi na lile la matangazo liko mtaani.tutajuzana kinachoendelea.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment