Image
Image

Rais Magufuli akutana na Benjamin mkapa, apokea shilingi bilioni 12 kutoka NEC.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva wakimsiliza Mkurugenzi wa  uchaguzi Bw. Ramadhani Kailima Kobwey wakati akitoa taarifa ya namna Tume ya Uchaguzi ilivyookoa kiasi cha shilingi Bilioni 12 zilizopangwa kutumika katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Bilioni 12  kutoka kwa   Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na  Mkurugenzi wa  uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani  Kobwey ikiwa ni bakaa ya tume hiyo  zilizopangwa kutumika  na Tume ya Uchaguzi katika   uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru kwa moyo wa Uzalendo Mwenyekiti wa Tume ya
 Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na  Mkurugenzi wa  uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kobwey baada ya kupokea bakaa ya  Bilioni 12  zilizopangwa kutumika  na Tume ya Uchaguzi katika   uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015.







Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment