Image
Image

Rais Magufuli aandaa futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika foleni na wageni wake kwenda kuchukua chakula wakati wa kufuturu katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Ndg. Ramadhani Madabida akifuatiwa na Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC)  Lusekelo Anthony 'Mzee wa Upako' na wagemi wengine wakipakua chakula  katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli  Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea machache baada ya futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipongezwa na kaimu Mufti Sheikh Hamid Masoud Jongo baada ya kuongea machache  katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah Mnyasi  katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wageni mbalimbali  katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Shamim Khan katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016. Kushoto ni Mke wa rais Mama Janeth Magufuli akifuatiwa na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro Fr. Stephano Kaombwe katika futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini aliyoandaa Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisaliminia na wageni waliohudhuria  futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Magufuli  Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment