Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa Tanzania TMA imeelezea umuhimu wa watu kuwa na tahadhari ya matetemeko ya ardhi chini ya bahari maarufu kama TSUNAMI kutokana na kuzidi kuongezeka kwa mabadiliko ya tabianchi yanayoweza kusababisha TSUNAMI.
Mwanzoni mwa warsha ya kimataifa ya siku tano kuhusu mafunzo ya tahadhari ya majanga na ukusanyaji wa tija na ufanisi wa taarifa za aina hiyo kwa upande wake Mamlaka hiyo imesema itahakikisha inatoa taarifa za matukio hayo haraka iwezekanavyo ili kuepusha maafa zaidi.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment