Image
Image

Mwakyembe kuliburuza Gazeti la Dira Mahakamani kwa kumuandika kuwa ni Tapeli.

Maziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania Dkt.Harrison Mwakyembe akanusha taarifa za gazeti la Dira ya Mtanzania kwamba yeye ni tapeli, aahidi kuwashtaki Mahakamani.
Kwenye ukurasa wa Mbele wa Gazeti hilo limeandika haya.
>>>Utapeli wa Mwakiyembe wamwagwa hadharani.
>>>Ni katika Sakata la utapeli wa 2.8bil.
>>>Kampuni ya Power Pool yajitokeza.
>>Yakiri kumt
ambua raia wa Korewa.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment