Dokta TULIA ameyasema hayo mjini dodoma katika mahojiano yake na TBC na kuongeza kuwa zipo njia nyingi za kikatiba za wabunge kuwasilisha malalamiko yao badala ya kususia vikao jambo ambalo amesema sio la kikanuni
Kwa upnde wao baadhi ya wabunge waliozungumzia hali hiyo wamesema elimu zaidi inahitajika kwao ili waweze kuwawakilisha wanachi kikamilifu.


0 comments:
Post a Comment